WAZIRI MWIGULU NCHEMBA KAYAAMUA HAYA KWA WATUMISHI WABADHIRIFU MKOANI PWANI















Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba leo amefanya ziara nyingine mkoa wa Pwani na kutoa maamuzi ya kuwasimamisha kazi watumishi wengine kwa tuhuma za ubadhirifu pamoja na kuamua kuzuia malipo ya mshauri wa ujenzi wa machinjio ya kisasa iliyopo Ruvu mkoa wa Pwani.

Mbali na hayo, Waziri huyo ameagiza wajumbe wa bodi hiyo inayosimamia ujenzi wa machinjio hiyo kuvunjwa siku ya Jumatano January 6, 2016 kwa tuhuma za matumizi mabaya ya pesa.



Waziri Mwigulu Nchemba amesema anahitaji kupewa taarifa za mradi wa machinjio hayo pamoja na wabadhirifu wote kuwajibishwa.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname