DIAMOND AITWA NA RAIS KIKWETE IKULU KWAAJILI YA PONGEZI



Baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz kufanya vizuri na kufanikiwa kuchukua tuzo mbalimbali zikiwemo zile za channel O, hatimaye leo December 23 Ikulu ya Tanzania imemkaribisha Diamond Platnumz kwenda kupokea shukrani baada ya kufanikiwa kuwakilisha Taifa vizuri kwenye tuzo za Channel o zilizofanyika South Africa wiki chache zilizopita.


Hizi ni baadhi ya picha za Diamond alipokuwa akizungumza na Mhe Rais Jakaya Mrisho Kikwete 

Mbali na Diamond pia Ikulu imemualika mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idris ambae nae alialikwa kwenda kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname