MFAHAMU MWANAUME AMBAYE JOKETI ALITOKEA KUMZIMIA ZAIDI



Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo maarufu ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi
alitokea sana kumzimikia mchezaji maarufu wa kikapu Hasheem Thabit kuliko wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .


Hayo aliyasema mrembo huyo alipokuwa akizungumza na Gazeti la Kiu hivi karibuni, ambapo Kidoti alisema kuwa kutokana na sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Joketi  Mwegelo na Hasheem Thabit
Hata hivyo mrembo huyo alisema kwamba kuhusu mapenzi yake na Diamond ambae pia amewahi kutoka nae, Kidoti aliseema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.

1 comment:

  1. Habari Mkusanyiko: Mfahamu Mwanaume Ambaye Joketi Alitokea Kumzimia Zaidi >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Habari Mkusanyiko: Mfahamu Mwanaume Ambaye Joketi Alitokea Kumzimia Zaidi >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Habari Mkusanyiko: Mfahamu Mwanaume Ambaye Joketi Alitokea Kumzimia Zaidi >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK

    ReplyDelete

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname