Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo maarufu ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi
alitokea sana kumzimikia mchezaji maarufu wa kikapu Hasheem Thabit kuliko wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .Hayo aliyasema mrembo huyo alipokuwa akizungumza na Gazeti la Kiu hivi karibuni, ambapo Kidoti alisema kuwa kutokana na sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
![]() |
| Joketi Mwegelo na Hasheem Thabit |


Habari Mkusanyiko: Mfahamu Mwanaume Ambaye Joketi Alitokea Kumzimia Zaidi >>>>> Download Now
ReplyDelete>>>>> Download Full
Habari Mkusanyiko: Mfahamu Mwanaume Ambaye Joketi Alitokea Kumzimia Zaidi >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
Habari Mkusanyiko: Mfahamu Mwanaume Ambaye Joketi Alitokea Kumzimia Zaidi >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK