HIVI NDIYO NAMNA DIAMOND ALIVYOPOKELEWA DAR

Ilikuwa ni shangwe na furaha kwa mashabiki wa Diamond Platnumz mara baada ya kutua kwenye ardhi ya Tanzania akitokea Afrika kusini baada ya kujishindia tuzo 3 za Channel O, ambapo wapenzi wa mwanabongofleva huyo walijikusanya kandokando ya barabara kuanzia Airport kwa lengo la kumshangilia msanii huyo kwa ushindi alioupata na kuitangaza Tanzania kwa ujumla.

Hata hivyo, Diamond aliona haitoshi na kuamua kuonesha naye mapenzi yake kwa mashabiki pindi  alipofika maeneo ya buguruni pale alipoamua kushuka kwenye gari na kunza kutembea pamoja na mashabiki wake hadi walipofika Kariakoo.

Miongoni mwa baadhi ya picha za mapokezi hayo ni pamoja na hizi hapa chini






Habari za burudani pia ni sehemu ya habarimkusanyiko.blogspot.com, tafadhali endelea kutembelea mara kwa mara tunaahidi kukuletea mengi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname