DK MAHANGA NAYE KAAMUA KUMFUATA LOWASSA CHADEMA


Ni ngumu sana saizi kukwepa taarifa za siasa kwani zimekuwa nyingi na karibu kila siku yanaibuka mapya leo kuna hii ya mwanachama mwingine wa CCM katangaza kukihama chama chake.

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga (pichani hapo juu) ambaye leo amefanya maamuzi ya kutangaza kukihama chama chake CCM,  kwa madai kuwa chama hicho kutokuwepo kwa Demokrasia ya kweli ndani ya CCM na ametangaza kujiunga na CHADEMA.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname