Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison
Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dr. Charles Tizeba
(kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini
(TRL) yaliyonunuliwa kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye
bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison
Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dr. Charles Tizeba
(kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini
(TRL) yaliyonunuliwa kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye
bandari ya Dar es Salaam Desemba 8,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagua moja ya mabehewa
mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda
kwenye Bandari ya Dar es Salaam Desemba 8, 2014 kupokea mabehewa
hayo.
No comments:
Post a Comment