MCHEZAJI BORA WA DUNIA KUTANGAZWA HII LEO





Tuzo ya mchezaji Bora wa dunia wa Fifa kwa mwaka 2014 inatarajiwa kutangazwa leo hapo baadaye, ambapo tayari wachezaji watatu wamechujwa ili kuania tuzo hiyo inayojulikana kwa jina la FIFA Ballon d'Or 2014.
Wachezaji wanaowania kinyang’anyilo hicho ni Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, halikadhalika na Mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer
Mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer
Christiano Ronaldo ambaye ni mchezaji wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno na Lionel Messi  ni mshambuliaji wa Barcelona na mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina pamoja na Manuel Neuer ambaye ni mlinda mlango wa Bayern Munich ambaye pia hudakia timu yake ya taifa ya Ujerumani.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname