RAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI




Hii ndio orodha ya mawaziri walioteuliwa hii leo na Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete na kutangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue



MAWAZIRI

George Simachawene - Waziri wa Nishati na Madini

Mary Nagu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu

Christopher Chiza - Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji

Harisson Mwakyembe - Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki

William Lukuvi - Waziri wa Ardhi Nyumba na Makaazi

Steven Wasira - Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika

Samwel Sita - Waziri wa Uchukuzi

Jenista Muhagama - Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge

MANAIBU WAZIRI

Stephen Masele -Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Rais Muungano

Angela Kariuki - Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makaazi

Ummi Mwalimu- Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Anna Kilango - Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Charles Mwijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname