AUNTI EZEKIELI ASEMA MTOTO WAKE NDIYE ATAMFUTA MAJONZI




Staa wa uigizaji wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amesema kuwa kupoteza wazazi wake ni moja ya pigo kubwa katika maisha yake na anachoamini kwa sasa ni kwamba mtoto anayetarajia kujifungua ndiye atakuwa furaha yake.
Akizungumzia swala hilo kwa upole, Aunty alisema kifo cha wazazi wake kilimfanya kulelewa na bibi yake pamoja na shangazi.

“Kutokuwa na wazazi ni pigo kubwa kwangu, lakini hata hivyo naamini kwamba mwanangu atakuwa na furaha ambayo nilikuwa naipata kutoka kwa wazazi wangu, atakuwa ni zaidi ya rafiki au ndugu, ndiye atakayenifuta machozi ya kufiwa,” alisema Aunty.




No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname