MFANYAKAZI WA CHUMBA CHA MAITI AKIRI KUWA HUWA ANAFANYA MAPENZI NA MAITI


Kweli dunia ina mambo, na wahenga walisema tembea ujionee mengi , hii ni baada ya kidume mmoja ambaye ni mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) nchini Ghana kuweka bayana kuwa amekuwa akifanya mapenzi na maiti.
Mwanaume huyo aliyejitambulisha kwa jina la Sharkuru Lukas, aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na kituo cha luninga kiitwacho TV Adom kilichopo nchini humo na kusema kwa kuwa amejikuta akifanya mapenzi na maiti za kike kutokana na kuwepo na ugumu kwake wa kupata wanawake wazuri kutokana na kazi yake hiyo anayoifanya.

Lukas alisema kutokana na hali hiyo ilimbidi atafute njia nyingine mbadala ya kutimiza haja zake za kimapenzi kwa kuwaingilia maiti wanawake ambao bado hawajaharibika wanao letwa kuhifadhiwa katika mochwari hiyo anayofanyia kazi.

Pamoja na hayo, Lukas alikiambia kituo hiko kwamba, lengo lake ni kumaliza haja zake tu na hiyo ni moja ya sababu ya yeye kuendelea kuipenda kazi yake hiyo kutokana na kuwa rahisi kupata anachohitaji.
Tunakaribisha matangazo ya biashara bei zetu ni nafuu sana, lakini pia kama unahabari yoyote au tukio lolote unaweza wasiliana nasi kwa simu namba 0716 514 718 / 0656 268 623 au email; mkusanyikowahabari@gmail.com



No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname