ADAM MCHOMVU KWENDA CHINA KWA MAFUNZO ZAIDI


Mtangazaji maarufu wa kipindi cha XXL Cha Clouds Fm Adam Mchomvu, ambaye pia kwa sasa ameibukia katika suala la ubunifu wa mavazi amepata zali la kwenda nchini China.
Akizungumza kupitia 255 ya XXL Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema kuwa Adam ni designer ambaye anahitajika kupewa elimu ya umaliziaji katika masuala hayo ya ubunifu.

Aidha, huenda Mchomvu akafanya vizuri zaidi katika masuala ya ubunifu kuliko hata music

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname