MTU MWENYE UMRI MKUBWA DUNIANIA AFARIKI


Mtu aliyekuwa na umri mkubwa duniani kutoka nchini Japan amefariki akiwa na umri wa miaka 117.
Mtu huyo aliyekuwa anaitwa Misao Okawa amefariki wiki kadhaa baada ya kusherehekea miaka hiyo 117 tangu azaliwe.

Misao Okawa alifariki akiwa katika kituo cha uangalizi mjini Osaka,mji ambao alizaliwa mwaka wa 1898.









Okawa amewaacha vitukuu sita na wajukuu wanne .



Okawa katikatia enzi za uhai wake
Kufuatia kifo hicho kuna madai kwamba kumesalia watu wanne pekee wanaodaiwa kuwa hai ambao walizaliwa karne ya kumi na tisa. Huku wote wakiwa ni wanaume huku mwanamume wa mwisho akifariki mwaka 2013.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname