RAIS MPYA WA NIGERIA ASEMA SERIKALI YAKE ITAANGAMIZA UGAIDI


Goodluck Jonathan (kushoto) na Muhammadu Buhari
Mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria Muhammadu Buhari ameelezea kwamba serikali yake itafanya juhudi za kuangamizia ugaidi nchini humo.
Hayo aliyasema kupitia hotuba yake aliyoitoa katika runinga za Nigeria,ambapo pia kiongozi huyo ameahidi kupambana na masuala ya ufisadi pia

Hata hivyo, bwana Buhari ambaye anataraji kuchukua wadhfa wa urais kuanzia mwezi ujao alimsifu mpinzani wake na rais anayeondoka Goodluck Jonathan.Huku akimtaja kama kiongozi anayehitaji heshima.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname