RAIS DK MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WAMTEMBELEA KARDINALI PENGO HOSPITALINI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki  Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname