WAZIRI MKUU MAJALIWA NAYE KAFIKA KUMJULIA HALI SUMAYE

12541064_10153842809569339_6210438068788157892_n
Magazeti mengi ya Januari 12, 2016 yaliripoti kuhusu Rais Magufuli kuamua kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye katika Hospitali ya Muhimbili.


Frederick Sumaye hakujua kuhusu ujio wa rais Magufuli hospitalini hapo jana maana ilikuwa kimyakimya, lakini leo ni zamu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa ambaye naye kaamua kwenda kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye hospitalini.

Zipo hapa picha zikimuonesha waziri Mkuu Majaliwa akiwa na Waziri Mkuu mstaafu Sumaye



IMG-20160112-WA0018

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname