NAMNA MSHIRIKI KUTOKA BIG BROTHER AFRICA IDRIS ALIVYIPOKELEWA NYUMBANI

Hivi ndivyo mwakilisha wa Tanzania ambaye ndiye mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Idris Sultan alivyopokelewa nyumbani Tanzania na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na mashabiki washindano hilo mara tu alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam .

Ni ushindi uliompatia furaha sana Idris
Idris akikumbatiana na mama yake kwa furaha  baada ya kuwasili

Mama Idris alionekana kuwa na furaha isiyoelezeka baada ya Idris kuwasili
Baadhi ya ndugu, marafiki na mashabiki wakiwa na furaha kwa ushindi huo wa Idris

Kila aliyefika kumpokea Idris alionekana kuwa na sura ya furaha sana
Idris naye alionekana mwenye tabasamu muda wote
Asante kwa kuendelea kuichagua habarimkusanyiko.blogspot.com, tafadhali kumbuka kwamba wewe ni muhimu sana kwetu msomaji wetu.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname