WAKATI VIJANA WAKITANZANIA WAKILALAMIKIA UHABA WA AJIRA, WAO CHINA HIKI NDICHO WANACHOKIFANYA




Ama kweli dunia hii inamambo, yaani wakati vijana wengi wakitanzania wakihangaika huku na kule kusaka nafasi za kazi, huko nchini China Mgahawa mmoja umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri binadamu au wanyakazi wa hotelini kwa lengo la kutoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wageni.

Je hii Sayansi na Teknolojia inafaida pia katika masuala kama haya au ni hasara tupu, hebu ona hapa…..

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname