WEMA AWATOLEA UVIVU WALE WANAOFUATILIA MAISHA YAKE



Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu ameamua kuwatolea uvivu wale wote wanao m- follow na kumtukana na kumkosoa kila kitu anachokiweka mtandaoni kutokana na kutompenda kwao.

Hayo yote yanafuatiwa baaada ya star huyo wa Bongo Movie kuachana na aliekuwa mpenzi wake hapo awali mwanamziki Diamond Platnumz.

Hata hivyo,Wema aliwatolea uvivu na kuonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda waache kum-follow kwani hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna wakumpangia.

Wema alisema….."My Life... My Rules... You dont like it Unfollow me.... Jus a quick reminder.... Jamani this be my own account.... My personal account... So nitamtag yoyote ninayetaka kumtag.... na bado siku ntatag watu mtashangaa maana sasa naona tunaingiliana mpaka kwenye kupost.... Akha...!!!! Hivi lini mmeskia nafatilia mtu kwenye post zake... Tusiingiliane jamani tafadhal... nat kwenye simu yangu.... I post watever I want, wenever I want, however I want.... u gat a prob...? Deal wit it.... Talk abt entertaining people sijui wanaotukana... I can entertain anybody I want....!!!! Period.....!!!! Afu pia tusifundishane namna ya kuishi aswell.... Like I said my life, my rules...."

Hatua ya Wema kutoa kauli hiyo ilizua mjadala marefu sana mtandaoni, baada ya kuibuka wale waliomuunga mkono Wema kwasababu ni kweli kunawatu wamezidi kufanya vitendo ambayo sio vya kistaarabu hata kama mtu haumpendi sio lazima um-follow naanze kutema mbaya, ila wapo waliosema azi-BLOCK baadhi ya akaunti za watu ambao wanafahamika kuwa ndio wanao chafua hali ya hewa nakuzitaja kabisa kwa majina. Ila wapo walio mpa moyo kwamba ustaa ni nzigo la mwiba kwa hiyo yeye awaache tu na mashabiki kwa mashabiki wata malizana wenyewe kwa wenyewe yani wale wanaompenda na wasiompenda awaacha wavutane.

Sambamba na hayo, familia ya Bongo Movie nayo ililaani suala hilo la kumchafua wema ambapo walisema maneno haya “Hili swala la watu kuchafua page za watu huko mitandaoni kwa lugha chafu sio kitendo kizuri hata kama mtu haumpendi sisi kama bongomovies.com kwa nguvu zote tunakemea vitendo kama hivi. KAZA MOYO WEMA

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname