KAMA WEWE NI MPENZI WA BURUDANI BASI HII NI FURSA NYINGINE TENA KWAKO



Mandai Entertainment ni tovuti (website) mpya ambayo inatarajia kuanza kukuteremshia habari mbalimbali za burudani yakiwemo masuala ya wasanii wa filamu, muziki, vichekesho, na mambo mengine mengi yanayojitokeza katika jamii zetu, hivyo kaa tayari kuanza kuitembelea tovuti hii na itakuwa ikipatikana kupitia www.mandaientertainment.com
Huu ndio muonekano wa awali wa tovuti (website) yetu ya burudani itakavyokuwa ikionekana, kwa sasa bado inafanyiwa marekebisho ikiwa tayari tutakupa taarifa wewe mpenzi wa habari za burudani

Kwa sasa website hii ipo katika hatua za mwisho za marekebisho, hivyo siku chache zijazo itakuwa hewani rasmi kwa mastory mengi zaidi ya burudani.
Asante kwa kuendelea kutuamini msomaji wetu wa habarimkusanyiko.blogspot.com. Tambua tunathamini sana uwepo wako.

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname