ALICHOKISEMA ROMA MKATOLIKI KUHUSU VIJANA WAKITANZANIA KIPO HAPA


Mwanamziki wa kizazi kipya Ibrahimu Mussa maarufu kama ‘Roma Mkatoliki’ amewashauri vijana kutobweteka na badala yake wajishughulishe katika kujiingizi kipato kwa njia iliyo halali.
Akizungumza jijini Dar es Salaam msanii huyo maarufu kwa nyimbo zenye ujumbe mzito, alisema vijana wanatakiwa kujishughulisha ili kupata heshima ambayo itsjengs maana ya wao kuwepo duniani.

Aidha, Roma alisema kupitia mziki wake anafurahi pale anapoona kazi yake inajenga heshima, kuelimisha na kuhamasisha hususani kwa wale wanaomzunguka.

“Nashukuru kazi yangu inatoa nafasi ya vipato kwa watu wengine, ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kupitia mashairi ya kazi zangu” alisema.

Sasa tupo tayari kuanza kupokea matukio mbalimbali kutoka kwako msomaji wetu wa habrimkusanyiko.blospot.com anza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 514 718, 0656 268 623. Au email; mkusanyikowahabari@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname