HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOTHIBITISHA KUHUSU UJAUZITO WA ZARI


Mwanamuziki maarufu nchini Diamond Platnumz katika kuthibitisha ukweli kwa walimwengu juu kipenzi chake wa sasa kubeba ujauzito na si kana kwamba ni poject aliamua kutumia njia hii ya kuandika “Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu Mavazi..”
Hata hivyo, wataalam wa mambo wanasema hiyo imekuwa ni ishara tosha ya kuthibitisha kwamba Zari kwa sasa ni mama mtarajiwa aliyebeba kiumbe cha masanii huyo mwenye nyota yenye kung’aa kwa sasa hapa bongo.

Msanii huyo aliambatanisha maneno hayo pamoja na picha yake na mpenzi wake huyo wakitoka kwenye show ya miaka 38 ya CCM huko Songea.
Picha husika....



No comments:

Post a Comment

Ad Inside Post

Comments system

Disqus Shortname